My Web

Emmanuel

CONTACT

Wednesday, August 15, 2012

Olympiki: Matokeo rasmi ya mbio za marathon kwa wanaume


Stephen Kiprotich wins the marathon

Mganda Stephen Kiprotich ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za marathon (wanaume) akifuatiwa na Wakenya Abel Kirui and Wilson Kipsang. Mtanzania Faustine Mussa alishika nafasi ya 33 baada ya kukimbia kwa masaa mawili, dakika 17 na sekunde 39 huku Samson Ramadhani akishika nafasi ya 66 kwa kukimbia kwa muda ta masaa mawili, dakika 24 na sekunde 53. Matokeo rasmi kama yanavyoonyeshwa hapo chini.










No comments:

Post a Comment

New