My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, November 1, 2011

Jengo la Quality Center Travetine Hotel

Mhariri wa gazeti la Championi, John Joseph (kushoto) akipokelewa kwa tabasamu mjengoni Quality Centre, Barabara ya Nyerere jijini Dar.

Afisa Maendeleo ya Biashara mjengoni hapo, Sara Pima (kulia) akiwapa maelezo wanahabari waliotembelea mjengoni hapo.

WANAHABARI kutoka vituo mbalimbali leo mchana walitembelea jengo la Quality Centre ambalo ndani yake zinapatikana huduma na mahitaji mbalimbali.

Wafanyakazi wa kampuni ya Masumin Printways & Stationaries wakitoa maelezo ya ofisi yao.

Wanahabari wakikagua bidhaa ndani ya supermarket iitwayo Uchumi.

Meneja Utawala wa Quality Centre, Caroline Saburi (kulia), akifurahia jambo wakati akiwatembeza wanahabari kwenye duka mavazi la Amina Design.

Magari yakiwa yamepaki kiusalama nje ya Quality Center.

KAMERA YETU TRAVERTINE HOTEL

WAPENZI wa burudani jana walifurika Hoteli ya Travertine iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam kushuhudia makundi ya Jahazi Modern Taarab yalivyokuwa yakipambana na Kundi la Mashauzi Classic.
Mzee Yusuf akikamua sambamba na dada yake, Hadija Yusuf.

Isha Mashauzi (aliyenyoosha mikono juu) akiwachizisha mashabiki sambamba na Mzee Yusuf.
Mzee akiimba kwa hisia kali wimbo wake mpya wa ‘My Chocolate’.



Mdogo wake Isha Mashauzi aitwae Asia akiwa katika pozi hotelini hapo.

No comments:

Post a Comment

New