My Web

Emmanuel

CONTACT

Monday, November 7, 2011

Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete wakimpokea Prince Charles, Camilla

Rais Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles alipowasili Ikulu, Dar es salaam, leo asubuhi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Prince Charles mara baada ya kuwasili Ikulu leo. Nyuma yao ni Rais Kikwete na mke wa Prince Charles, Camilla.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia.
Prince Charles na Mkewe Camilla akisalimia vijana waliowapokea Ikulu leo.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wageni.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika maongezi na wageni wao.

No comments:

Post a Comment

New