My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, January 19, 2012

MZEE YUSUF ATUA NDANI YA NEW YORK TAYARI KWA MAKAMUZI YA JUMAMOS

Mzee Yusuf akipata akiwa katika pozi na mashabiki wa New York mara tu alipotua tayari kwa kupiga shoo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake wa New York na vitongoji vyake siku ya Jumamosi Januari 21, 2012 na Februari 4, 2012.

Mzee Yusuf (katikati) akiwa na mashabiki na maporomota wake wa New York mara alipotua JFK, kutoka kushoto ni Ebra NY, Mao, Tahir Gharib akiwa na mama mwenye nyumba wake.

Mzee Yusuf akiwa amevaa makoti mawili kupunguza kiyoyozi cha New York kinachopuliza kweli kweli ambapo leo kulikuwa na nyuzi joto 39 F-21F ambazo ni sawa na 4C kwa -6C.


KWA TICKETS ZA DMV WASILIANA NA

DJ LUKE JOE- 301 661 6696
MARCO MBULLU-571 426 7124
SEIF MOHAMED- 301 537 3877
SALEH MOHAMMED-202 290 5227
LATIFA MZESE-240 603 7353

No comments:

Post a Comment

New