My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, January 20, 2012

VIONGOZI MBALIMBALI WAFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SUMARI KUTOA POLE KWA FAMILIA

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha, akiwasili msibani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Steven Wasira, akipokelewa msibani hapo.
Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge ambaye ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sita akifika msibani.
...Akisaini kitabu cha maombolezo.
Spika wa Bunge la Jamhuri, Anna Makinda, akiungana na waombolezaji.
...Akisaini kitabu cha maombolezo.
...Akiteta jambo na mke wa marehemu.
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa, akiwa msibani.
...Akiwa na Sitta.
...Akiwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ritha Mlaki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mohamed Bilal akisalimiana na Lowassa.
Bilal na Lowassa ambaye pia ndiye mwenyeji na msimamizi wa msiba huo, wakiteta jambo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mkama akisalimiana na Lowassa.
Bilal akiagana na Makinda.
Rais Kikwete akiwasili msibani.
Rais Kikwete akiwa na Lowassa.

VIONGOZI mbalimbali wa kitaifa jana walifika nyumbani kwa marehemu kwa ajili kuipa pole familia ya marehemu, mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (CCM), Jeremiah Sumari, aliyefariki usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

No comments:

Post a Comment

New