My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, February 5, 2012

Rais Kikwete katika siku ya Sheria, akutana na viongozi wa NGO Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na viongozi wa Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mapendekezo ya Baraza la Taifa la NGOs Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012 kuzungumzia mchakato wa Katiba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya Mahakama kuu jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012 na kupokewa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman nyuma yake, Spika Anne Makinda (anayepeana nae mikono) na viongozi wa juu wa Mahakama kabla ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman baada ya kuhutubia katika Siku ya Sheria Tanzania jijini Dar es Salaam leo Januari 3, 2012.

No comments:

Post a Comment

New