My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, February 17, 2012

UJUE MSTARI WA MAJANGA (FATE LINE)

Habari,
Watu wengi pengine inawezekana wewe unayenisoma ukawa mmoja wao wanakabiliwa na majanga ya kila aina. Matatizo kazini, katika mahusiano, uzazi, biashara, maradhi mfululizo, ajali na pengine kufiwa au kufa mwenyewe…
Watu hao kwa bahati wakijiangalia viganjani mwao watagundua kuna mstari unaanzia kwenye kifundo cha kiganja, unakatiza mistari mingine ya kiganja na unaelekea vidoleni juu. Huu ni mstari wa majanga au (Fate Line) Mstari huo ndio chanzo cha matatizo yote na sio kila mtu anao.
Mimi nimejuaje?
Miaka sita iliyopita niliwahi kufanya kazi na myahudi katika ofisi moja. Yeye ndiye aliyenifundisha kusoma viganja (Palm reading) elimu ya awali halafu nikajiendeleza kwa wataalamu toka India kwa mtandao. Palm reading ni ujuzi wa kumjua mtu yeyote aliye mbele yako kwa kumwangalia viganja vyake tu! Hivi sasa nawafundisha watu wanaofanya kazi za kijamii kama madakitari, waalimu, waandishi wa habari, wafanya biashara HR & PR Managers, Diplomats na wengineo wengi tu.

Unaweza ukamjuaje mtu aliyepo mbele yako?
Ni rahisi sana. Mfano, mfanyakazi hodari ni Yule mwenye vidole vifupi vinene na utamjua hata akiwa chumba cha pili kwa tabia yake ya kugonga meza anaposisitiza jambo. Mtu mwenye vidole vyembamba virefu ndiye mpiga story mzuri na utamjua kwa tabia yake ya kuongea kwa mikono na kugonga wenzie mabegani. Mgonjwa utamjua kwa kiganja kilichokunjana ngozi bila nyama na ni cha moto. Upo?

Zipo alama nyingi kiganjani zinazoashiria mafanikio, kifo, uzazi, mahusiano n.k. Kifupi kiganja kinamweka mtu uchi zaidi na tungelijua tungeficha kwa gloves halafu tukatembea uchi hakuna shida! Kozi hii nafundisha siku tatu tu na atakaye taka anifuate.

Tukiachana na hiyo kozi, ningeomba wale wote wenye majanga yanayoendelea na wana mstari wa majanga (Fatal Line) hawa wanione kwanza niwasaidie maana dawa yake tayari ninayo maana imenisumbua miaka kadhaa kuitafuta. Tafadhali kama kuna mtu unampenda na unamwona matatizo yanamwelemea tafadhali mfikishie ujumbe huu tuweze kumpa msaada.

John Haule
0768215956
Je ungependa kujua japo kidogo kuhusu taaluma hii? Fungua hapa http://www.wikihow.com/Read-Palms

No comments:

Post a Comment

New