My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, June 10, 2012

CCM LEO JANGWANI WALIVYOFANYA


Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo
kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia

Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akihutubia
Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo
Watangazajai wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo
Vijana wakichangamka kurudisha kadi za Chadema mbele ya Nape na Kinana
Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa
Nape akichaza gita na bendi ya Vijana Jazz
Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo
Chege akitumbuiza
Nape akifuatilia mambo yanavyokwenda kwenye mkutano huo
Wana CCM wakiserebuka kwa furaha kwenye mkutano huo
Wana CCM wakishangilia kwa furaha
Mamia ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye
mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana.

Baadhi ya mabango
Baadhi ya mabango
Baadhi ya mabango
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano,
akizungumza kwenye mkutano huo

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akihutubia

No comments:

Post a Comment

New