My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, June 19, 2012

MH. RAIS KIKWETE AAPISHA MWENYEKITI MPYA NA MAKAMISHNA WAPYA WA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI

  Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo.
 Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo.
  Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo.
 Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo.
 Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo.
 Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo.
 Rais Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Makongoro Mahanga (wa tatu kushoto) pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika picha ya pamoja.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha.
(PICHA ZOTE NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

New