My Web

Emmanuel

CONTACT

Saturday, June 23, 2012

MISS DAR INDIAN OCEAN 2012

Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam

 Hawa ndiyo warembo wa Tano Bora wakiwa na Miss Dar Indian.
Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora.
















Warembo waliofika 10 bora kabla ya kuingia kwenye mchujo wa kutafuta tano bora.
*Keep refreshing the page mambo yote yanakuja...ni Miss Dar Indian Ocean 2012...

MISS DAR INDIAN OCEAN YAANZA KUNOGA 

NDANI YA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO, DAR


 Watu wamenoga...
Hata sisi tumewakilisha...
 Warembo...
Mtu mzima dawa... 
Mambo ya backstage kwa warembo wa Miss Dar Indian Ocean.


 

 

 

 

 

 

HAWA NDIYO WAREMBO WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012 WATAKAOWASHA MOTO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JUNE 22, 2012

 Mackrine Andrew.
 Zulfa Vuai.
 Dian Hussein.
 Elizabeth Mkende.
 Navoneiwa Stephen.
 Janeth Yasini.
 Jenifer Mallya.
 Lucy Prosper.
 Jenipher Manu.
 Beatrice Peter.
 Mariam Sadic.
 Kudra Lupatu.
 Dorica Mukaka.
 Happy Waigama.



Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.














 Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 linatarajiwa kufanyika 
ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam JUNI 22, 2012.

No comments:

Post a Comment

New