My Web

Emmanuel

CONTACT

Saturday, June 30, 2012

Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili


Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara na watu wasiojulikana na ambao walimjeruhi vibaya sana,Dk. Steven Ulimboka aliepatwa na mkasa huo usiku wa kuamkia leo huko katika msitu wa Mabwepande,jijini Dar
Wanahabari wakihangaika kupata picha ya Dk. Steven Ulimboka alieinginzwa
kwenye gari hiyo tayari kwa kupelekwa kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa matibabu zaidi.



Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakiisukuma
gari iliyokuwa imempaki Dk. Stevan Ulimboka.

Madaktari na Wauguzi wa Muhimbili wakiwa wamesimama huku wakizungumzia hali iliyompaka mwenzao.

Wanahabari wakitafuta taswira.
hakuna kazi iliyokuwa ikifanyika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakati
Dk. Ulimboka akifikishwa hospitalini hapo.










No comments:

Post a Comment

New