My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, October 4, 2011

Wafungwa watakiwa pia:

Wafungwa watazamwe hasa pia katika mambo ya chakula na malazi,wamekuwa wakinyimwa sana uhuru ktk hayo,unakuta vigodoro vingi vimechoka sana na vinahadi kunguni na wanabanana saa ya kulala,vyoo na ,mabafu haya ubora mzuri kwani magereza yetu ni ya kurithi toka kwa wakoloni sasa ukarabatiwake ktk ubora wakileo ni mbovu,Chakula mtu kula mlo mmoja au miwili ni ukiukwaji wa haki za binadamu,matibabu yakusua sua kama mfungwa akuumwa tatizo la Figo akahitaji kubadilishiwa ninani wa kumsaadia kama c kufa?
Watz wenyewe hatuna tamaduni na hatufuati kuruan an Biblia kuwa “unapomtembelea mfungwa ambaye humjui unapata thwawabu kwani hutegemei malipo yoyote toka kwake”sasa tungekuwa tupo hivyo hakika tungejua na kusaidia matatizo yao.Wafungwa wakila vizuri hata baadhi ya magonjwa yatapungua kwao.Elimu yetu iweke somo la DINI kama lazima kuanzia darasa la kwanza hadi chuo,ilim watu wajue kusaidi wasiowajua,upendo,na hofu ya wizi rushwa na ufisadi.

No comments:

Post a Comment

New