My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, July 26, 2012

Makampuni ya mawasiliano yametakwa kuunganisha huduma kwenye mkonge wa taifa

Serikali imeyataka makampuni ya mawasiliano kuunganisha huduma
zao kwenye mkonge wa taifa ili kuboresha huduma za mawasiliano.

No comments:

Post a Comment

New