My Web

Emmanuel

CONTACT

Wednesday, July 18, 2012

MELI YA SEAGUL YAZAMA ENEO LA CHUMBE JIRANI NA ZANZIBAR


Taarifa zilizotufikia ni kwamba Meli ya Seagul iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es Salaam imezama muda huu. Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7 mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe jirani na Zanzibar. Mpaka sasa haijafahamika madhara yaliyotokana na ajali hiyo.
Mtandao wako utazidi kukupa habari zaidi kuhusiana na tukio hili.

No comments:

Post a Comment

New