My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, July 5, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Julai 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI mkoani Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Julai 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI mkoani Dodoma.
(PICHA ZOTE NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

New