My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, April 15, 2012

hivi ndivyo Piermario Morosini alivyodondoka uwanjani




Hivi ndivyo Kiungo wa timu ya Livorno inayoshiriki Ligi ya Italia 'Serie B', Piermario Morosini (25) alivyodondoka uwanjani na kupoteza maisha wakati wa mechi ya timu yake dhidi ya Pescara jana




No comments:

Post a Comment

New