My Web

Emmanuel

CONTACT

Monday, April 9, 2012

WATANZANIA WAZIDI KUMIMINIKA MSIBANI

Mwigizaji wa kitambo kidogo Annita John akipepewa baada ya kuzimia.

Mbunge wa Ilala Musa Zungu akizungumza muda mfupi baada ya kuwasili.

Miss Tanzania wa mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.

Mwenyekiti wa Chamudata mzee Kassim Mapili akitia saini.

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akitia saini kwenye kitabu hicho.

Mh. Martha Mlacha akiimba nyimbo ya maombolezo kwenye msiba huo.
MAMIA ya waombelezaji bado wanazidi kumiminika nyumbani kwa aliyekuwa muigizaji maarufu nchini, Steven Charles Kanumba maeneo ya Sinza Vatican, jijini Dar huku viongozi wa nyadhifa mbalimbali serikalini wakipishana.

No comments:

Post a Comment

New