My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, April 8, 2012

RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA IGP MSTAAFU HARUN MAHUNDI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki aprili 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji watoto wa Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki aprili 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

New