My Web

Emmanuel

CONTACT

Monday, April 30, 2012

SAFARI HELIKOPTA YA DIAMOND MBAGALA DAR LIVE

Ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo kwa sasa na kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza nchini kufanya hivyo
 
Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One akielekea kwenye Helikopta
 tayari kwa safari

  
Diamond akiwa na Rubani wake wakati wakielekea kwenye helikopta


Diamond akipiga 'saluti; kabla ya ndege kupaa kuelekea kiwanja cha Dar Live, Mbagala
Helikopta ikiwa mita chache juu wa Dar Live ikizunguruka, ambapo Diamond alisalimia 
mashabiki akiwa angani kwa kutumia 'Wireless Mic'

Huu ni Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live unavyoonekana kwa juu

Diamond akitua katika uwanja wa Dar Live!

Diamond akiagalia helikopta ikipaa angani, na mkononi akiwa ameshika Mic yake

hapa Helikopta aliyokuja nayo Diamond ikiondoka

Diamond akiwa ndani ya Mercedes Benz mara baada ya kutua


                               

No comments:

Post a Comment

New