My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, April 12, 2012

Jay Z na Beyonce watanua visiwa vya St. Barts pasaka


Wazazi wapya Beyonce na Jay Z walichukua timeout kula sikukuu za pasaka katika visiwa vya St. Barts wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Carter.

Beyonce alionekana akiogelea baharini huku mumewe Jay, ambaye mwili wake ulionekana kama mbeba vyuma alichill na kuvinjari beach.


Beyonce alishow off mwili wake mpya baada ya kujifungua mtoto wake wa kike mapema mwaka huu.

Cheki pics za Mr and mrs Carter

No comments:

Post a Comment

New