My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, April 13, 2012

MDAHALO WA WAGOMBEA UKATIBU JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC

Mdahalo na wagombea wa nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania waishio jiji la Washington DC na majimbo ya Maryland na Virginia. Wameeleza mengi, ungana nao hapa.
Shukrani za pekee kwa Mtayarishaji Dj Luke Joe, Mpiga picha Abou Shatry na muwezeshaji Libe.

No comments:

Post a Comment

New