My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, April 8, 2012

Teknolojia ya MICROCHIP??




Unaijua teknolojia ya MICROCHIP??.......(18) ------------------------------
--------- Ni aina ya kidonge kama "coldril" ile ya kutibu mafua ambayo ndani yake kina utaalamu wa RFID transponder ambavyo kinawezesha mawasiliano baina ya pande moja na nyingine yaani kama Transmitter na Receiver. --------- Kidonge hicho wame...shaanza kupewa watoto kule nchi zilizoendelea kwa malengo yafuatayo:.. 1.Kujua nyendo za kila mwanadamu aishie ili iwe rahisi kumpata mtu kwa mahala anapoishi nk hata kama kuna uhalifu umetokea na yeye anahusika!. 2.Kuyasoma mawazo ya binadamu kirahisi zaidi maana hii ni kama sayansi ya uchunguzi hivyo kwa utaalamu huu ni rahisi kujua mtu kile anawaza na kwa wakati gani!. 3.Pia cha kushtusha zaidi eti kwa kutumia teknolojia hii unaweza kupanga uzazi wa mpango!duh... 4.Yote ya yote kwa hii wanaweza wakakuongoza ufikirie nini na kwa wakati upi!hehe...hapo vp nzuri eeeh?? Ok kwa meeengi unaweza ukaGOOGLE upate updates za ziada ila kwa AFRICA nadhanimuda sio mrefu itaingia, si unajua vinaanziaga kule then tunafwata sisi! Dah kweli duniani tunachangamoto. Angalia hiyo picha hapo chini jinsi kinavyopandikizwa kwenye mkono!hehe yaani unatembea na umeme mwilini!dah kazi ipo kweli sayansi inakuwa. (c)2012

No comments:

Post a Comment

New