My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, April 10, 2012

MAMIA WAMZIKA KANUMBA MAKABURI YA KINONDONI

Mdogo wa marehemu aitwaye Seth Bosco (kulia) akiwa mwenye uso wa majonzi.

Viongozi wa serikali akiwemo Makamu wa Rais, Gharib Bilal (wa tatu kulia) wakisubiri kuwasili kwa mwili wa Kanumba.

Mke wa Rais, Salma Kikwete, akiwa msibani.
Mcheza filamu, Wastara Juma (aliyefunika mdiomo), akilia kwa uchungu.
Msanii Ummy Wenceslaus ‘Dokii’ (katikati mbele mwenye kilemba) wakiwa katika majonzi.


Mastaa wa filamu (waliovaa nguo nyeupe) Aunt Ezekiel (kushoto) na Wema Sepetu, pia walikuwepo.

Mamia ya watu leo wamefurika kumzika mcheza filamu maarufu wa hapa Bongo, Steven Kanumba, katika makaburi ya Kinondoni ambapo kabla ya hapo waliuaga mwili wake katika Viwanja vya Leaders, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

New