My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, April 10, 2012

KANUMBA AZIKWA NA MAELFU YA WATU

Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na watu wa Msalaba Mwekundu baada ya kuzirai.

Msanii wa filamu, Blandina Chagula akilia kwa huzuni

Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa (kulia) naye alikuwepo.

Mcheza sinema, Wema Sepetu, akisaidiwa na msanii mwenzake, Emannuel Miyamba.

Msanii Irene Uwoya akihudumiwa na wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu.

Msanii Rachel Haule akiwa na majonzi.

Waombolezaji wakisukumana kuingia makaburini.

MSANII maarufu wa filamu nchini, Steven Kanumba, aliyefariki dunia usiku wa Ijumaa Kuu amezikwa na maelfu ya Watanzania katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

New