My Web

Emmanuel

CONTACT

Wednesday, April 11, 2012

Jb azungumza baada ya kifo cha Steven Kanumba


JB

Mwigizaji JB baaada ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba amesema “kweli Kanumba hatunae leo lakini ukweli utabaki kuwa atabaki kuishi na sisi daima kwa sababu filamu zake nzuri zilizovuka kimataifa, zitazidi kuonekana na kuweka kumbukumbu katika akili na mioyo yetu jinsi ambavyo ameweza kukanya familia na kuongoza watu katika filamu zake itabaki hivyo siku zote”
JB ameamplfy zaidi kwamba “kama vile alivyotuongoza, alivyokua balozi wetu wakati tunakwenda Rwanda na Congo DRC, bado amekua balozi wetu hata hapa Tanzania wakati wa siku yake hii ya kumuaga na kuonyesha ya kwamba kweli tunakubalika, tutakumbuka daima sisi Bongo movie, na bado utabaki kuwa msemaji wetu hata kama haukuwepo, Mungu ailaze pema roho yako”

No comments:

Post a Comment

New