My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, April 8, 2012

MABONDIA THOMAS MASHARI VS SELEMANI GALILE KUMALIZA UBISHI KESHO

Bondia Thomas Mashari (kulia) na Seleman Galile wakiwa wameshikilia mkanda wa ubingwa wa taifa utakaofanyika kesho, katikati ni promota wa mpambano huo, Prosper Rweyemamu.

Bondia Thomas Mashari akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Seleman Galile kesho.

No comments:

Post a Comment

New