My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, April 10, 2012

MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WASANII KUFUATA NYAYO ZA KANUMBA

Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha waombolezaji.

...Akijifuta machozi.

Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi akisaini kitabu cha waombolezaji.

Nahodha wa timu ya Simba, Juma Kaseja akisaini kitabu hicho.

Muigizaji maarufu King Majuto akiwa msibani.

Nchimbi (katikati) akionyeshwa jambo kwenye kompyuta na wanakamati.

Kwaya ya kanisa la Africa Inland Church (AIC) Chang’ombe alikokuwa anasali Kanumba ikitumbuiza.

---
MKE wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete, amewataka wasanii wa filamu kuzingatia na kufuata nyayo za marehemu Kanumba kwani alikuwa ni msanii aliyejituma na aliyefanya vizuri kazi yake.
Aliyasema hayo jana wakati alipofika nyumbani kwa Kanumba, Sinza, jijini Dar es Salaam, kuwapa pole waombolizaji

No comments:

Post a Comment

New