My Web

Emmanuel

CONTACT

Wednesday, April 11, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA MJINI DODOMA LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki na wapambe wao kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati ) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thanduyise Chiliza, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
.

No comments:

Post a Comment

New